Jorginho for Ballon D`or 2021

Mbali na mafanikio ya Klabu na timu ya Taifa,yeye kafanya nini??

Alifunga?

Alitoa assist?

Alifanya nini cha maana?

Deep laying Midfield unataka afunge magoli na atoe Assists? unazifahamu kazi za uwanjani za wachezaji kwa mujibu wa position zao?
 

Umeanza lini kushabikia mpira? Ona hii kiti n then compare na jorginho wako๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

 
Deep laying Midfield unataka afunge magoli na atoe Assists? unazifahamu kazi za uwanjani za wachezaji kwa mujibu wa position zao?
Swali la mwisho linauliza,amefanya nini?
 
Kwangu mimi the best challenger wa Messi kwenye Ballon D'or mwaka huu ni Rewandowiski

Ana makombe ma 4, na ana golden boot ya europe na bundesliga,

Sema timu ya taifa ilimharibia lakin nako si haba, aliingia nyavuni zaidi ya mara mbili
 

Messi anachukuwa. Mpende mcpende habari ndiyo iyo
 
Top 3 ballon d'Or
Kwa mujibu wa MARCA, Lionel Messi amebeba na hii ndiyo top 3

1 King
2 Lewandowski
3 Benzema


Mliokuwa mnampromote joginho wapi mtaonyesha sura zenu, hata top3 hayumo ๐Ÿ˜‚ tuacheni ushabiki bwana.....Hujui omba msaada usaidiwe

final top 3
Messi
Lewandowski
Salah
 
Eti wanarusha saa ngapi hii ballooon deoo nataka kuangalia mitindo hasa suti na magauni ya wake za wachezaji. Utashangaa mchezaji unampenda anashinda anapanda jukwaani na mke wake guess whaaat mke wake ni mwanaume mwenzie. Inakata stimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ