Kama Richarlison na marco silva
Matic na Mourinho
Kwan jorgihno na sarri wamechukua makombe mangapi mkuu au wamewahi fika hata 16 bora?????acheni utoto kabisa kumfanananisha Jorginho na vichokochoko.
Tatizo ya watu mnaoangalia big match tu.acheni utoto kabisa kumfanananisha Jorginho na vichokochoko.
Tatizo ya watu mnaoangalia big match tu.
Siku ukija kumfahamu Richarlison nahisi hadi utakapoona game ya chelsea yako na everton.
Kwan jorgihno na sarri wamechukua makombe mangapi mkuu au wamewahi fika hata 16 bora?????
Nimekushangaa sana ulivyomu-underrate Richarlison mkuuSijaanzia kumuona Chelsea Jorginho kama weye. Nimeanza tokea Hallas Verona sasa sijui nani anaangalia Big match tu. Jamaa ni habari nyengine kabisa katika football ya sasa.
Nimekushangaa sana ulivyomu-underrate Richarlison mkuu
Tutamuona oct 20. Dharau sipendiJorgihno nikisanga anakichafua balaa
Usiwaze mzee babaTutamuona oct 20. Dharau sipendi
Msimu uliopita kaongoza pasi ligi zte tano ulaya na mpaka sasa anaongoza pasa ligi 5 ulaya kwa msimu huu tuSijaanzia kumuona Chelsea Jorginho kama weye. Nimeanza tokea Hallas Verona sasa sijui nani anaangalia Big match tu. Jamaa ni habari nyengine kabisa katika football ya sasa.