Ni msanii maarufu zaidi afrika mashariki lakini si tajiri kuliko wote coz in UG tu anayeongoza kwa utajiri wa jumla na muda wote kwa wasanii ni bobi wine aka ghetto president from makindye,labda iwe ni msanii aliyeingiza mapato mengi kwa mwaka husika.