Jose Chameleone Returns to Catholic Religion for the Good of His Family!

<br />
<br />
he! Mbona sielewi? Yaani RC hawamfuati yesu au?
 
Mke alishamkimbia chezea ndoa wewe... Yaani hata wasanii nao wamegeuka kuwa vigeugeu kama wanasiasa
 
..huyu ana matatizo huyu, si ndo huyu alishawahi kuanguka kwa kuruka toka Ghorofani kisa alikuwa Usingizini???
 
Umaarufu wake umeshuka sasa ameamua kutafuta umaarufu kwa style ya IMANI
 


Bangi mtu hafai kuwa mkatoliki, fukuzeni shetani. Haaminiki
 
kama hizo sababu za kurudi RC alizotoa ni kweli basi hakika alikuwa kwenye wakati mgumu sana na kwa upande wangu siwezi kumlaumu sana.Sijui ingelikuwa ni wewe yamekukuta hayo uingelichukua uamuzi gani?
wa mungu ni wa mungu, wa shetani hawezi ongoka, ukilelewa kwa maadili yanayoaminika kuwa ni mema tena kwa miongo kadhaa, akatokea mtu au watu wakajidai kukufundisha nawe ukashawishika kuwaelewa, ndani ya muda mfupi kabisa, ninachoweza kukitambua hapo ni sawa na mtu atamanishwaye atapata utajiri anakubaliana na tamaa yake, hatimaye anatapeliwa!!! unapotii kiu yako angalia usijefakamia spirit ukidhani ni sprite!!!!
 
i'm not suprised coz i knew he'll come back to roots!
 
Ina maana alijiamkia asubuh akaenda kusilimu, bila hata ya kumdokezea mke wake ama mtoto! Bangi ni Noumer.

Hakuna bangi hapa, hata wewe ukimtaka mwanamke mrembo akikwambia sharti uslim, unaslim, unammega then unarudi kwenye dini yako. Kuna dini zingine kuamini ni sawa na kujitakia mateso tu
 
Nilishangaa pia pale niliposikia kabadili dini, nakumbuka kuona na picha zake akiwa amepiga kanzu na kilemba, tena na jina la Ghadafi. yawezekana zilikuwa bangi, pia wengi wao wanaobadili badili dini akili zao huwa haziko sawa. nilishawaona baadhi yao
 
Bangi zingine hapana jamani.
Badala ya kushukuru kondoo aliyepotea karudi home nyie mnatukana. Mlitaka na yeye abobee kwenye kufuga majini eeh??? Mmeshindwa kwa Jina la Yesu Mungu aliye hai
 
Kwa upande wangu naona Chamelione ni kama mtu ambaye hana msimamo..hajui vizuri dini yake amezaliwa akakuta wazazi ni RC na yeye akajiita mu-RC jina. But for sure hajui dini yake. Na kama alikuwa anatafuta media attention hapa atakuwa ameenda mbali zaidi..otherwise ni matokeo ya ......bange...za ...s.Malawi
 

Najiuliza ilikuwaje akachagua jina la Gadafi au ni kwa sababu aliwaajengea msikiti mkubwa..au ndio media attention yenyewe aliyokuwa akiitafuta..
 
Unajua ni vigumu kuanza mbele kurudi nyuma na adfadhali aanaeanza nyuma anaenda mbele nilijua kile kile kinanii jinsi ya kuandika na kukisoma kitamwasha mapema na hili limetokea SIFA KWA BWANA YESU USHINDI MWINGINE HUU PAMOJA NA KURUDI ANATAKUWA AENDE KANISA LA WALOKOLE AKAJIVUE MAGAMBA YOTE WALIOMWTIKA SIKU ANASLIMU VINGINEVYO ANAPOTEZA MUDA MARUHANI NA MENGINEYO YATAMFWATA MPAKA ATIE AKILI AJUE SASA AMEAANZISHA VITA AWE MAKINI NA KUSIMAMA NA MUNGU ..

POLE NA JUA FEDHA ZA GADAFI ZIMEKUDANGANYA ILA SISHANGAI KAMA YUDA ALIEMSALIRTI YESU SEMBUSE WEWE UNAETEMBEA NA HAMMER
 
Alipobadili watu walisema hapa jf kuwa bangi zikiisha atarudi..,usifanye mchezo kukaa na njaa mdomo ,unanuka balaa!
 
Habari kutoka Kampala Uganda zinadai kuwa yule mwanamuziki aliyesilimu siku sita zilizopita Chameleone aka Jaffar Ghaddaf amelazimishwa kurudi kwenye imani yake ya mwanzo. Hii ilitokea kwenye kikao cha familia kilichoongozwa na mama yake baada ya mke wa mwanamuziki huyo kukimbia nyumbani kufuatia kusilimu kwa Jose.....

Habari zaidi hiii hapa

The pressure has been too much for the music star to handle after he converted to Islam last Friday. Jose Chameleone had even changed his name to Jaffar Gadaffi Mayanja on converting. Two days later, Chameleone's wife and the two kids packed their bags and left the music star all by himself.In a meeting chaired by his mom who stood by him throughout this time and a few relatives, they reached an agreement that Chameleone goes to Bbina Church this Sunday and denounces the Islamic faith as a sign that he is back to the Catholic faith. In the meeting, you could clearly see Chameleone disturbed.
Chameleone has been through a lot from the time he walked into the Kibuli Mosque. Initially, he thought he was only going for Juma prayers just like many politicians do but when they asked him to come and address the people, he became overwhelmed and recited the Shahad prayer that coverts one to being a moslem.
His dad was so furious to the extent that he stopped him from using the family name, Mayanja. Daniella was clear that the man she had married was a Catholic and not a Muslim, so she left Chameleone's home to the time when he could denounce that faith, and then go back to his home.
Chameleone's in-laws also supported Daniella with the actions she took after last Friday event. Chameleone was however quick at distancing himself from allegations that this was a publicity stunt.
The music star said that he has launched a number of albums and he did not have to do anything but people still came in large numbers. Star Jose wedded his longtime girl friend Daniella Atim on June 7, 2008 from Bbina Catholic Church. The two are blessed with two boys Abba Marcus Mayanja and Alfa Mayanja.
 
Hakuna bangi hapa, hata wewe ukimtaka mwanamke mrembo akikwambia sharti uslim, unaslim, unammega then unarudi kwenye dini yako. Kuna dini zingine kuamini ni sawa na kujitakia mateso tu

Hii nimeipenda, kwa hiyo jamaa baada ya kukamua mzigo karudi zake. Hawa watu wapo sana hasa hasa makanisa ya kilokole haya, na mashuleni/vyuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…