Jose Mourinho 2018 aliongea haya kuhusu Bonucci na Chiellini. Je, kwa performance yao unahisi kuna ukweli?

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
“Leonardo Bonucci and Giorgio Chiellini... they could go to Harvard University to give classes about how to be a central defender. They’re quality. When I say quality I don't just say creative players. Chiellini-Bonucci, it’s absolutely beautiful to see”. 🇮🇹

José Mourinho - 2018
 
Aliniudhi alivyomvuta shati saka kwa maksudi
Ile ndio akili ya kazi.. Unadhani angefanyaje? Pale akili yake ilishafanya kazi kama umeme, kanusa hatari, akaona huyu kijana akiniacha hapa kati nami ndio central defender kuna nini kitatolea huko, kule kule juu..

Kuna game marcelo alifanya ujinga, messi kampindua kule juu, hakumfanya kitu lile kosa likawagharimu wakafungwa madrid.. Ni aheri kumalizana nae juu.
 
Ile ni miamba kwenye ukuta wa Italy, halafu pia wote ni wafungaji ikiwalazimu, pure class.
Nasindikizia na picha mkuu
IMG_20210712_164834_925.jpg
 
Ile ndio akili ya kazi.. Unadhani angefanyaje? Pale akili yake ilishafanya kazi kama umeme, kanusa hatari, akaona huyu kijana akiniacha hapa kati nami ndio central defender kuna nini kitatolea huko, kule kule juu..

Kuna game marcelo alifanya ujinga, messi kampindua kule juu, hakumfanya kitu lile kosa likawagharimu wakafungwa madrid.. Ni aheri kumalizana nae juu.
Kweli kabisa ata hapa juzi bruce kangwa dhidi ya morrison...yeye alitakiwa kumla buti mapema sio moaka mnafikkshana karibu na penalty area
 
Ile ndio akili ya kazi.. Unadhani angefanyaje? Pale akili yake ilishafanya kazi kama umeme, kanusa hatari, akaona huyu kijana akiniacha hapa kati nami ndio central defender kuna nini kitatolea huko, kule kule juu..

Kuna game marcelo alifanya ujinga, messi kampindua kule juu, hakumfanya kitu lile kosa likawagharimu wakafungwa madrid.. Ni aheri kumalizana nae juu.
Ndo tofauti yake na wavulana kina Stones
 
Back
Top Bottom