Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Ile ndio akili ya kazi.. Unadhani angefanyaje? Pale akili yake ilishafanya kazi kama umeme, kanusa hatari, akaona huyu kijana akiniacha hapa kati nami ndio central defender kuna nini kitatolea huko, kule kule juu..Aliniudhi alivyomvuta shati saka kwa maksudi
Nasindikizia na picha mkuuIle ni miamba kwenye ukuta wa Italy, halafu pia wote ni wafungaji ikiwalazimu, pure class.
Asante.Nasindikizia na picha mkuuView attachment 1850618
Kweli kabisa ata hapa juzi bruce kangwa dhidi ya morrison...yeye alitakiwa kumla buti mapema sio moaka mnafikkshana karibu na penalty areaIle ndio akili ya kazi.. Unadhani angefanyaje? Pale akili yake ilishafanya kazi kama umeme, kanusa hatari, akaona huyu kijana akiniacha hapa kati nami ndio central defender kuna nini kitatolea huko, kule kule juu..
Kuna game marcelo alifanya ujinga, messi kampindua kule juu, hakumfanya kitu lile kosa likawagharimu wakafungwa madrid.. Ni aheri kumalizana nae juu.
Alinusa hatari angemuacha asee ingeleta madhara makubwaAliniudhi alivyomvuta shati saka kwa maksudi
Ndo tofauti yake na wavulana kina StonesIle ndio akili ya kazi.. Unadhani angefanyaje? Pale akili yake ilishafanya kazi kama umeme, kanusa hatari, akaona huyu kijana akiniacha hapa kati nami ndio central defender kuna nini kitatolea huko, kule kule juu..
Kuna game marcelo alifanya ujinga, messi kampindua kule juu, hakumfanya kitu lile kosa likawagharimu wakafungwa madrid.. Ni aheri kumalizana nae juu.
Methali yetu ya siku🤣👇Aliniudhi alivyomvuta shati saka kwa maksudi
walistahili mnooItalian job well done
Naungana na wewe katika hili bt what about Sergio RamosHawa jamaa ndio Best Center Back in the last 10 years
Stone kalala na chiellini cha ajabu maguire kamuacha bonucci kaleta majangaNasindikizia na picha mkuuView attachment 1850618
Hapo akina Cheillini walivamia kwa mahesabu ili mmoja akidhibitiwa mwingine apenyeStone kalala na chiellini cha ajabu maguire kamuacha bonucci kaleta majanga