Jose Mourinho afutwa kazi Chelsea

Ilikuwa haina jinsi kiukweli...pole ze special zero...ha ha ha.
 
Sio habari. Ni kama tu ushindi wa Godbless Lema, Arusha Mjini.
We saw it coming kitambo.
 
kwa hiyo matusi yote kwa wenga yeye ndo ameondoka?????? hatari sana>>>>
 
mkuu ngoja tuone linalofuata.... labda linaweza kuja li Pep Guardiaola.... ila kokote atakakokuwa Mourinho nitahamia ku support hiyo timu.
Tupo wengi mkuu...Hata mimi, alipo huyu jamaa ndipo nilipo.
 
Mourinho ametulostisha sana baada ya kumtimua daktari kipoozeo cha wachezaji
 
Nataka Mourinho amkejeli tena Wenger

Mourinho huwa hamkejeli Wenger, anamwambiaga ukweli.

Unakumbuka aliwahi kumwambia kwamba kazi ya Wenger haina stress kwa sababu hawazi kufukuzwa hata kama matokeo ni mabaya.

Na Mou alisema ikitokea msimu ukaisha hajachukua kombe anafukuzwa au anaacha kazi, na ndicho kilichomtokea, wameona kwamba hatachukua kombe wakamfukuza. Wenger hata miaka kumi ipite no problem.
 
Chelsea wameniboa sana! Tatizo la Chelsea sio Mourinho! Mpaka nimeishiwa nguvu! Sina hamu tena na Chelsea.
 
Nataka Mourinho amkejeli tena Wenger

Acha kumfananisha Mourinho na Wenger unajishushia heshima,
Mafanikio ya Mourinho Wenger ataendelea kuyaota ndotoni tu,

Tuchukulie UCL tu, Mourinho amechukua mara 2 akiwa na team za Porto na Chelsea,wenger Kombe la UCL atalisikia tu mpaka anastaafu,kwanza asubiri mziki wa Barcelona
 
Ni kweli inauma lkn haina jinsi.Mou namkubali toka yupo Poto. Nilihama Arsenal nikamfuata Chls, nikamfuata Inter,Real na baadaye kurudi darajani.Popote ulipo tupo! Nina imani atarudi Epl, ila akijiunga na Ma U, mmh mtihani, hapo sitakuwa naye kitimu bali mafanikio binafsi! God Bls U Mou!
 
I think All of you people who are laughing at him should check ur bank account because he just made another 40 million 😕😕 for just getting sucked sohow dis they pay you when they sack at your job or whatever you call it........ U see the joke is on u...... Us actually including me
 
kwa hiyo matusi yote kwa wenga yeye ndo ameondoka?????? hatari sana>>>>

Siyo matusi, Mourinho anasemaga kocha pekee ambayo yuko guaranteed na kazi yake ni Wenger.

In a sense kwamba hata Arsenal afungwe vipi, kocha ni yule yule, ila wao kina Mourinho na makocha wengine kuukuzwa kuko nje nje!
 
Mourinho ataendelea kulipwa na chelsea mpka pale atakapopata timu mpya ndo mkataba wake unakoma na siyo swala la kuchukua paund m40 kwa wakati mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…