Jose Mourinho kutangazwa kuwa kocha mpya wa Fenerbahce ya Uturuki

Jose Mourinho kutangazwa kuwa kocha mpya wa Fenerbahce ya Uturuki

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki.

Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi ya Ismail Kartal ikiwa na maana itakuwa ni ajira yake ya 11 kwenye ukocha.

Timu hiyo imemaiza msimu wa 2023/24 kwa kushika nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya Uturuki (Turkish Super Lig) kwa mara ya tatu mfululizo nyuma ya Galatasaray.

Mourinho hakuwa na timu tangu alipofukuzwa kazi Januari 2024 katika Klabu ya Roma ya Italia.

============

Jose Mourinho 'agrees to become Fenerbahce's new manager on a two-year deal'... five months after his bitter sacking from Roma

Jose Mourinho has reportedly reached an agreement to become the new Fenerbahce on a two-year contract.

The Portuguese boss is set to replace Ismail Kartal at the Turkish giants, according to Gianluca Di Marzio, in what would be his 11th managerial role.

Mourinho succeeds the Turkish boss after Fener finished second in the Turkish Super Lig for the third successive year.

It is believed that Mourinho is to return to the game after being sacked by Roma in January after two-and-a-half years.

It had been previously reported that Mourinho was a target Saudi Arabian club Al Qadsiah, but seemingly his next destination is Turkey.

The news comes just a day after it was revealed that the 61-year-old manager will join TNT Sports for the coverage of the Champions League final on Saturday 1 June.

'The Special One' had expressed interest in returning to management and looks to have secured a job after five months out of the game.

He previously placed on record that he could see himself managing in Saudi Arabia in the future, when speaking to MBC Egypt.

He said: 'I will go to Saudi Arabia in some free time, but I am convinced that I will work there.

'I don't know when, but I am pretty sure of it. No one knows the future, but I will definitely do this. Doors are always open for me in Saudi Arabia. I want to feel the development there.'

However, it seems the time has not come yet, and he is set to arrive in Turkey after Fener brutally finished second in the league on a mammoth 99 points, but the tally was still three points shy of their bitter rivals Galatasaray.

Mourinho will be tasked with bringing glory back to Istanbul, and his track record speaks for itself.
 
Angeenda kuchukua utajiri kule kwa kina Al Al Ittihad Al Nasr Al wahed Al Barakat
 
Future ya Mtu huwa haijulikani kabisa, nani aliamini Carlo Anceloti angekuja kufundisha Everton akimaliza nayo nafasi ya 10 EPL 2020/2021 na hakuwa na mafanikio yoyote lakini sasa hivi yuko Real Madrid na kabeba makombe makubwa tu?
Huko hatamaliza miaka miwili, kocha aliyepita kamaliza ligi na point 99 kafungwa mechi 1 tu msimu mzima na bado ubingwa hajabeba, Mourinho anaenda kuwapiga hela tu kama kawaida yake
 
Huko hatamaliza miaka miwili, kocha aliyepita kamaliza ligi na point 99 kafungwa mechi 1 tu msimu mzima na bado ubingwa hajabeba, Mourinho anaenda kuwapiga hela tu kama kawaida yake
Morinyo ni jizi la kalamu
 
Back
Top Bottom