Jose Mourinho: No way, I will resign

Jose Mourinho: No way, I will resign

Lancashire

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
14,057
Reaction score
10,367
Baada ya kupokea tena kichapo kutoka kwa Southampton jana amesema hakuna jinsi atajiuzulu kuifundisha club hiyo maarufu iliyopo darajani Stamford. CNN
 
Kuna tatizo linalo pelekea timu kufungwa si bure.
 
Huenda ni mgomo baridi! Unajua wachezaji walimpenda sana dr Eva aliyesimamishwa kazi na Morinho, hivyo inawezekana wanataka naye aondoke.

Nami masema, MORINHO go go go please!
 
Zaidi ya mbinu yake ya kupaki basi hakuna kingine anachojua,anabaki kuwa mhamasishaji mzuri na sioo kocha.
 
...hana tofauti na ccm kwa sasa aondoke tu watu wanataka mabadiliko anataka kuleta u Blatter na u ccm kwenye mabadiliko...? asepe tu.....
 
tatizo kubwa la mourinyo ni kutafuta watu wa kutupia lawama timu inapofanya vibaya matokeo yake akifungwa mechi kadhaa tayari anakuwa ashatengeneza maadui kadhaa kwenye timu anasahau kuwa no matter timu imeshinda au kushindwa lazima siku zote timu isimame pamoja
 
Simpendi Morinho kwa sababu ya kiburi na dharau kwa timu zingine.
Napenda sana Chelsea ya Morinho inapofungwa
 
Huwa simpendi. Ila nilimchukia zaidi pale alipomnyanyasa yule binti ambae alikuwa anatimiza wajibu wa kazi yake kama daktari wa timu. Mourinho alijichukulia kama yeye ni mungu mtu kiasi cha kumfanya Dr. Eva kuporwa haki yake.
Aende zake tu mbwa yule.
 
Kiburi,dharau na majigambo na kutafuta watu wa kuwasukumia lawama ndio vitammaliza nguruwe wa kisasa yule.
Ile dhambi ya kumtupia lawa Dr Eva inamrudia yeye ajiandaeye kufurumushwa nafkir hata yeye anamjua Abromovic
 
akiwa anaondoka awabebe mgongoni terry, ivanovc na falcao. yaani wasepe tuu,
 
Mwaka jana kachukua ubingwa.msimu huu kafungwa mechi kadhaa tuu anajiudhuru wenger haoni ilo nae si aondoke watu wanataka soka safi bila mafanikio..wanafungwa na olimpiacos nyumbani yy yupo tuu..
 
siku zote tunajua kua hana mbinu yeyote ya kufanya timu icheze vizuri alafu jamani chelsea ukimtoa hazard waliobakia ni wachezaji wa kawaida sana hata spurs hawapati number
 
...hana tofauti na ccm kwa sasa aondoke tu watu wanataka mabadiliko anataka kuleta u Blatter na u ccm kwenye mabadiliko...? asepe tu.....

sijaona ulichochangia hapa.
 
Back
Top Bottom