tatizo kubwa la mourinyo ni kutafuta watu wa kutupia lawama timu inapofanya vibaya matokeo yake akifungwa mechi kadhaa tayari anakuwa ashatengeneza maadui kadhaa kwenye timu anasahau kuwa no matter timu imeshinda au kushindwa lazima siku zote timu isimame pamoja
Huwa simpendi. Ila nilimchukia zaidi pale alipomnyanyasa yule binti ambae alikuwa anatimiza wajibu wa kazi yake kama daktari wa timu. Mourinho alijichukulia kama yeye ni mungu mtu kiasi cha kumfanya Dr. Eva kuporwa haki yake.
Aende zake tu mbwa yule.
Kiburi,dharau na majigambo na kutafuta watu wa kuwasukumia lawama ndio vitammaliza nguruwe wa kisasa yule.
Ile dhambi ya kumtupia lawa Dr Eva inamrudia yeye ajiandaeye kufurumushwa nafkir hata yeye anamjua Abromovic
Mwaka jana kachukua ubingwa.msimu huu kafungwa mechi kadhaa tuu anajiudhuru wenger haoni ilo nae si aondoke watu wanataka soka safi bila mafanikio..wanafungwa na olimpiacos nyumbani yy yupo tuu..
siku zote tunajua kua hana mbinu yeyote ya kufanya timu icheze vizuri alafu jamani chelsea ukimtoa hazard waliobakia ni wachezaji wa kawaida sana hata spurs hawapati number