Jose Mourinho: No way, I will resign

Baada ya kupokea tena kichapo kutoka kwa Southampton jana amesema hakuna jinsi atajiuzulu kuifundisha club hiyo maarufu iliyopo darajani Stamford. CNN

according to BBC; sack me but i won't quit say mourinho, hebu weka taarifa vizuri.
 
Mourinho kama kawaida yake anatengeneza mazingira afukuzwe na kulipwa fidia kubwa. Safari hii, mmiliki hatakubali kutoa pesa kirahisi.
 
Nadra sana kocha kushamiri akirudia timu aliyowahi kupata mafanikio makubwa siku za nyuma.
 
according to BBC; sack me but i won't quit say mourinho, hebu weka taarifa vizuri.

Kiongozi chanzo changu cha habari ni CNN inavyoonekana bado kuna mkanganyiko kuhusu kuondoka kwa Mourinho Chelsea .lakini kuna kila dalili kuwa ataacha kuifundisha club hiyo whether kwa kupenda au hata asipopenda.ngoja niendelee kutafuta usahihi wa habari zaidi.
 
wachezaji inaonekana Wana mgomo baridi si bure

yah! true ila jn tulcheza bla kiungo mkabaj south'ton wakawa wankj tu,pigwa mbili z fasta ,matic kaingia kpnd cha 2 dakka km y 65 hv kamtoa kaingia remy. ila wachezaj hawaonyesh ktaka kushnda "nahc inxh y doctor hawakupenda"
 
Baada ya kupokea tena kichapo kutoka kwa Southampton jana amesema hakuna jinsi atajiuzulu kuifundisha club hiyo maarufu iliyopo darajani Stamford. CNN

haujakosea tafsiri kweli,mi nimeelewa kuwa hawezi kujiuzulu labda afukuzwe
 
Mwaka jana kachukua ubingwa.msimu huu kafungwa mechi kadhaa tuu anajiudhuru wenger haoni ilo nae si aondoke watu wanataka soka safi bila mafanikio..wanafungwa na olimpiacos nyumbani yy yupo tuu..

mtu hafukuzwi nyumbani kwake labda aondoke mwenyewe kwa kupenda....alipo wenger ameshiriki kupajenga ila alipo mourinho amejengewa; in short huwezi kumfukuza kirahisi mke uliyejenga nae nyumba ila ni maamuzi rahisi kabisa kumfukuza mke aliyekukuta na kila kitu
 
maorinho nilikupenda lakini naipenda chealsea zaidi ni bora ukatafakari sisi washabiki hatujazoea vipigo kama asenal ni bora ukatuachia timu yetu
 
Baada ya kupokea tena kichapo kutoka kwa Southampton jana amesema hakuna jinsi atajiuzulu kuifundisha club hiyo maarufu iliyopo darajani Stamford. CNN

No way I resign. No way. Why? Because Chelsea cannot have a better manager than me,” he told reporters at his post-match media conference.
“There are many managers in the world that belong to my level but not better. Not better. So no chance I run away. Why? For two reasons. One, I have my professional pride and I know that I am very good at my job. Secondly because I like this club very much.”

“If that's not the case then it could be different. In the accumulation of these situations I want the best for my club and the best for my club is for me to stay so I stay. When we were champions I say I will stay until the owner and board want me to leave.”

Despite links with PSG, Mourinho also says that he will not leave Stamford Bridge to join another club, insisting “no club or financial offer can persuade me to leave”.

“I'm going to stay until the owner and board say 'Jose it is enough',” he added. “I say that when I am champion, I say that when I am 16th or 17th in the table. [h=3]Leave a comment[/h]






[h=2]Competitions[/h]
Premier League



Matchday 8



view all [h=2]Top scorers[/h] [TABLE="class: players"]
[TR]
[TD]Player[/TD]
[TD]Goals[/TD]
[TD]Apps[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
J. Vardy Striker Leicester City [/TD]
[TD="class: goals"] 7 [/TD]
[TD="class: apps"] 8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] S. Agüero Striker Manchester City [/TD]
[TD="class: goals"] 6 [/TD]
[TD="class: apps"] 8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] O. Ighalo Striker Watford [/TD]
[TD="class: goals"] 5 [/TD]
[TD="class: apps"] 8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
R. Mahrez Striker Leicester City [/TD]
[TD="class: goals"] 5 [/TD]
[TD="class: apps"] 7 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
C. Wilson Striker AFC Bournemouth [/TD]
[TD="class: goals"] 5 [/TD]
[TD="class: apps"] 7 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]Predict & Bet[/h]

Chelsea








Aston Villa

CHE1-1 AST
CHE0-1 AST
CHE2-0 AST

[TH="class: results"]Top predictions[/TH]
[TH="class: odds"]Odds[/TH]

[h=2]Popular Now[/h]

  1. Mou: I'm the best Chelsea has ever had
  2. Tamko Rsmi la Mbeya City juu ya Juma Nyosso
  3. Mwambusi apata ufumbuzi tatizo la Nyoso
  4. REPORT: Man City 6-1 Newcastle
  5. REPORT: Sevilla 2-1 Barcelona
  6. REPORT: Chelsea 1-3 Southampton
  7. COMMENT: Chelsea are a disaster
  8. COMMENT: Messi-less Barca out of luck
  9. SPECIAL REPORT: Inside LVG’s Utd
  10. 'Man Utd were outbid for Martial'

 
Wakuu naomba kusahihisha habari hii ni kwamba Kocha ameelezea kuwa hana sababu ya kujiuzulu ( no way he will resign) kipande cha habari nilichokipata through CNN nilikitafsiri tofauti.
 
Wakuu naomba kusahihisha habari hii ni kwamba Kocha ameelezea kuwa hana sababu ya kujiuzulu ( no way he will resign) kipande cha habari nilichokipata through CNN nilikitafsiri tofauti.


Siku nyingine usiwe unakurupuka tu kama Chafya!! hahahaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…