white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
kocha wa real madrid amehapa kuwa zamu hii ni zamu yake kutoa kipigo kitakatifu kitakacho iduwaza dunia kwa barca!ktk mechi ya kwanza ya kombe la mfalme itakayo chezwa j.tano ijayo ktk wa uwanja wa santiago bernabeu,na kurudiwa tena baada ya wiki moja ktk uwanja wa barca.Anasema ameshajua huwa anajikwaa wapi!na wachezaji wake waache papala,kwani amekuwa akifadhaika sana kila wakati kupata kipigo.Ngoja tuone ila sidhani kama jeuri hiyo anayo,jamani barca mziki mzito!!