Jose Mtambo alikuwa underrated au hakuwa na zali?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Sikiza hii ngoma ni ya kitambo sana. Ila style kali ni kama imerekodiwa leo asubuhi. Jose ananata na kuichakaza biti vibaya sana.

Huwa namsikiliza huyu mwamba najiuliza alikosea wapi kutusua. Was he underrated?
 
Jose mtambo kafanya poa sana kwenye collabo alizoshirikishwa na roma yani zote kaua
 
Nilimkubali kwenye ile ngoma aloimba na pipi... Noma sana
 
Darasa huru Jos ft Misifa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…