Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Huyu jamaa ni moja ya marapa bora ambao kwa kweli mziki umewatenda au hawana bahati kabisa. Kama ni kweli gongo basi ni msongo wa mawazo. Wasanii wa bongo wanatakiwa wawe na management itakayowaongoza.Mambo vipi?
Mara ya mwisho kupata taarifa za huyu Rapper ni kuwa alikuwa mgonjwa. Sijapata taarifa tena juu ya hali yake.
Mlioko Kigambonino mtupe taarifa.
unamaanisha nini Mkuu?Mwenzie Z anto akipanda panton pale anashusha kofia [emoji3]
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Anaona aibu amefuliaunamaanisha nini Mkuu?
Hahahshaaa jose mtambo mmoja wasanii wakali wachache ninaowaokubaliGongo mbaya sana aisee,kuna watu humu watakuambia ni usalama wa taifa kilasiku anapeleka reports.
Jamaa nilisikia anakunywa gogo,so sad yaani.
Ukiona kimya basi ujue hata washikaji zake hela hawana,labda sijajua Tongwe na ROMA wana mpango gani kuhusu mshikaji wao manake ndio walikuwa watu wake wa karibu.Ila wasanii wajifunze ,wasifanye mziki wa kuwatajirisha watu mwisho wa siku kilio kama hiki,jamaa ni bonge la rapper lkn leo hali ni mbaya.Kwann hawajitokezi watu wa kumpeleka sober house akatibiwe?? Hana washkaji kabisa?
Atleast huyu tumemkumbuka na kumpa sifa zake kabla hajafa.... R.I.P KingZilla"Nipe basi ata namba yako hataki, ni haidi utakuja tenaa weee bonge la demu kila sehemu/hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee".
juzi tu nimetoka kudownload nyimbo zake zote, nazisikiliza sanaa iwe popote.
Mungu ambariki Jose Kigambonino.
Ukiona kimya basi ujue hata washikaji zake hela hawana,labda sijajua Tongwe na ROMA wana mpango gani kuhusu mshikaji wao manake ndio walikuwa watu wake wa karibu.Ila wasanii wajifunze ,wasifanye mziki wa kuwatajirisha watu mwisho wa siku kilio kama hiki,jamaa ni bonge la rapper lkn leo hali ni mbaya.
Mimi niliambiwa na jamaa yangu 2014 jamaa mlevi wa gongo ,sijajua mpaka hivi leo atakuwa na hali gani,wasanii wengi wa zamani ni wana hali mbaya,Blue nae sasa hivi Masika inakuja lazima atafute chaka la kujificha,manake nyumba inakuwa kama bwawa la kufugia kambale.