Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Kuna hii Ngoma ya Roma mkatoliki,msimchukulie poa Jose Mtambo

Zipo ngoma mbili kashirikishwa na Roma
1; Mechi za ugenini.
2; Kaa Tayari.
Mtambo kafanya unyama humo ndichi mkuu.
 
Jaribuni kuwa serious basi Jay Moe huyuhuyu wa Ulimwengu ndio mama ama kuna Jay Mo mwingine fake? Dah huu ni utovu wa nidhamu
 
Huko bukobaaa

Imebaki migombaa

Njoo bandari ya salama hakuna usalama
ingawa salama yatambulika Kama dhana bora sana

Hatuna budi inabidi tujihimu

Tujihimu sote baba hata mama

Kaka hata dadaaa

Ni wakati wa kujilinda thathaaa

Utakoma utahenya na kidha kidhaaa
 
hah kipindi hicho jay moe anaitwa mawazo..nikwambie verse kali za jay moe??iskize unforgettable ya nako2nako ft jay moe..iskize MAFIA ya ngwair FT jay moe..afu iskize Mbabaishaji ya jay moe
mbabaishaji unamaanisha mshamba sio?
 
Namuelewa sana Jos ila Kumfananisha na Jmoe na Jos ni kutomtendea haki.... Mo ni mkali tena sana, kuanzia flow mpaka tungo zake....
Kwangu anaanza Moe,anakuja Solo, Prof J, Afande na wengine wanafuatia...
 
kwenye story 3 Kuna mstari Jay mo anasema "hakumsikiza Jose mtambo alivyoimba Kizaa zaa/yamemuharibikia Mambo na Mtoto bado Hajazaa..haha real recognize real
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntasemaje,ngoja nkazifanyishe battle nyimbo zao af ntarud
 
Flow ya jose mtambo hakuna anaeweza kuiiga sema tu jamaaa nyota ila mm nikitaka kuenjoy namsikiliza mtambo japo jmo namkubali pia,

Sikiliza hataki
Ho ha heee

Darasa huru
 
sikumbuki poa kaka but Ni kile cha boya mfanya kazi WA muhindi Ana mapene dusko anamchukua demu WA moo,mpunga unakata demu Ana Rudi kwa moe
Inaitwa mshamba kwenye chorus alisimama Sir Nature..kali sana
 
Darasa huru
Si mchezo
Kithatha- hapa alikua na kundi 'Fan With Sense'
Twende sasa
Unaonaje
Bado anatisha
Wakueleze
Jose masihara
Nawapenda
Shut up
N.k

Jose Mtambo hatari, sema tu ni MC aliyekosa nyota tu ya kuhit

Jamaa anaandika sana na style yake iko 'unique' kuliko wengine

Mtambooo!
 
Na ka picha kake hebu kapost
 
Jos mtambo is good, but huwezi, kumfananisha na mtu mwenye hit songs kibao!

Jay Moe is very underrated. Yani hata hii comparison yako inaonyesha jinsi gani unamu-underrate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…