Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Nilibahatika kuusikia wimbo wa Joseline redioni jana. Japo ulikua unaishia ishia.
Bila shaka ni wimbo mpya. Jamaa hakika anajua na amerudi kikweli kweli, ni bonge la pini la RnB.
Bahati mbaya sijajua huo wimbo unaitwaje na wala sijaweza kuupata kwenye mtandao.
Mwenye wimbo mpya wa Joseline tafadhali atupiemo.