Joseline wa Perfume amerudi

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Nilibahatika kuusikia wimbo wa Joseline redioni jana. Japo ulikua unaishia ishia.
Bila shaka ni wimbo mpya. Jamaa hakika anajua na amerudi kikweli kweli, ni bonge la pini la RnB.

Bahati mbaya sijajua huo wimbo unaitwaje na wala sijaweza kuupata kwenye mtandao.
Mwenye wimbo mpya wa Joseline tafadhali atupiemo.
 
Huyu jamaa kwani alisafiri mpaka useme amerudi..? Kuna jamaa amesema alimuona corner bar au ndio amerudi kutoka bar..!
 
Hana jipyaaaaa ,video mbayaaa!!!!!!
 
Video ya kishenzi kuna sehemu yule modal anaonekana nguo ya ndani tena nyekundu....uchafu mtupu
Lakini Joceline kajitahidi kiukweli
 
Video ya kishenzi kuna sehemu yule modal anaonekana nguo ya ndani tena nyekundu....uchafu mtupu
Lakini Joceline kajitahidi kiukweli

Inaitwaje hiyo ngoma? Maana inazidiwa hata na pafyum
 
Ngoma umeisikia inaisha halaf unasema bonge la pini? Jose aka mtanzania kweli umeishiwa mpaka promo unajifanyia mwenyewe?
 
Ngoma umeisikia inaisha halaf unasema bonge la pini? Jose aka mtanzania kweli umeishiwa mpaka promo unajifanyia mwenyewe?

Ngoma kali inajulikana tu mkuu, ukisikiliza nusu ya verse ya mwisho na chorus yatosha kutambua kama ni ngoma kali.
Halafu mimi sio Jose mkuu.....kama sigara huziwezi usivute.
 
Huo muda wa kusikiliza hzo ngoma,mnaupata wapi wenzetu?
 
Khe kumbe huyu mtu bado yupo alikua na wale wenzie kina Q Jay, Makamua wote washapotelea pande zipi sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…