Joseph Kibwetere and Ugandan Cult Mass Murder/Suicide

Tujikumbushe,yaliyotokea miaka ya nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imani Ngumu 😎😎😶🤨😑😑😏😐🤔
 
Kakobe amtishia Nchimbi
Mtanzania Aprili 5: 2000
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zakaria Kakobe amemtisha Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Emanuel Nchimbi na kumpa muda wa wiki moja ili ‘atubu dhambi’ ya kumfananisha na kiongozi wa kikundi cha kidini ambacho mamia ya wafuasi wake walikufa kwa moto nchini Uganda Joseph Kibwetere.


Alisema katika kipindi hicho kama Nchimbi hataomba toba yake Mungu atamwonyesha tofauti kati yake na Kibwetere na kumfanya awe fundisho kwa watu wengine.

Kakobe alisema kuwa kwa kuitwa Kibwetere hakukashifiwa yeye, bali Mungu aliyemchagua na kumweka katika utumishi wake.

"Kwa taarifa hii ninampa Emmanuel Nchimbi siku saba za kutubu dhambi hii. Kama toba haitanifikia kitika muda huo kuanzia leo (jana) Mungu wangu atamwonyesha tofauti yangu na Kibwetere", ilieleza sehemu ya taarifa hiyo.

Kibwetere ni kiongozi wa kanisa la kurejesha amri kumi za Mungu nchini Uganda ambaye anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya waumini wa kanisa lake zaidi ya 1,000 machi 17 mwaka huu.

Hatua hiyo ya Kakobe ya kumtaka Nchimbi kutubu inafuatia kauli aliyoitoa juzi kwenye vyombo vya habari kuwa Kakobe anakoelekea anaweza kufikia hatua ya kuwachoma moto waumini wake.

Wiki iliyopita Kakobe alinukuliwa katika gazeti la RAI toleo la Machi 30-Aprili 5 akikiri kuvunja ndoa za Waislamu, hasa wanaume ambao walikuwa dini ya Kiislamu, lakini wakaamua kujiunga kanisa lake.

Alisema kuwa matamshi hayo ya Kakobe yanaweza kuhatarisha amani iwapo Waislamu wataamua kuchukua hatua dhidi ya vitendo vinavyofanywa na askofu huyo.

Source: Makazeti ya wiki, April 2000
 
"mtakufa bila kelele ,kama walivyokufa wafwasi wa kibwetere"
 
It was a replica of Jim Jones of Jonestown Guyana cult mass murder.
 
Haya mambo ya zumaridi yakija kutokea tutakuepo hapa kushuhudia
 
kibwetere alitakiwa kuwa makamu wa rais enzi za idd amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…