Joseph Kusaga ahamisha makazi yake Abu Dhabi

Umofia Kwenu,

Wadau kuna habari Le grande mupao suvereee mwonkozi Joseph Kusaga amehamia Abu Dhabi kwenye makazi mapya,anataka kufungua radio station huko huko na kupeleka king'amuzi chake!

Big up J.Kusaga

Sa ndo unalia? Au?
Atakutumia nauli.
Tuambie na wewe ulivyohamia mafinga.
Big up kwako.
 
Huyuuu jamaa anatafuta promo za kwenye magazeti na social networks. Kamaa domoo.....
 
Sasa sisi hayo yanatuhusu nini?! Mbona hadi sasa hajafanya utumbo wwt kama ulivyoongopa last year?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…