Joseph Kusaga aikana Wasafi Media

Joseph Kusaga aikana Wasafi Media

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Mkurugenzi wa Clouds media group, Joseph Kusaga amethibitisha kutokuwa na Ubia wowote katika Wasafi media, ameeleza hayo katika mahojiano yake na Clouds, Kusaga ameeleza kuwa hana shea yoyete Wasafi media bali yeye ni kama baba na mshauri kwa Mkurugenzi wa Wasafi media ambae ni Nasib Abdul (Diamond Platnumz)

 
Ofcoz yeye sio mmiliki sababu jina la majority shareholder ni la mkewe so the fact mkewe anamili shares haimaanishi kusaga ndio mmiliki hata kama amemtia mpunga . Yupo sahihi
 
Hivi ile choice FM sio yake? Kuna kipindi nilisikuaga sijui clouds Rwanda mara kuna clouds nyingine uarabuni sijui Dubai!
 
Back
Top Bottom