Joseph kusaga kufunguka kesho

Pukudu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
3,149
Reaction score
2,232
kesho asubuhi katika kipindi cha break fast Joseph Kusaga atakuwepo akijibu hoja na kwa wenye maswali ya aina yeyote ametoa namba ya simu 0786863716 hii ni kwa sms pamoja na e mail josephkusaga@ymail.com. So kwa maswali ya aina yeyote yale wamuulize tufunguke tumuulize kuhusu kila kitu kuhusu redio yake ya wafu
 
haituhusu, waambie wapaka poda na wanaojichubua!
tumtumie msg ili iweje?
 

Are serious kwenye red
 
Kama ni kweli basi nahisi kunasimu atapigiwa ikiwa inaambatana na matusi mengi mno!
 
hahahhaha nasahau hata kama kuna redio kama hiyo. Hapo atakuwa ameeandaa watu wa kumpigia msimu au watakuwa wamesharecord ili kuweza kujifanya kuelezea kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…