Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mkurugenzi wa CMG Joseph Kusaga amesema yeye siyo mmiliki wala mwanzilishi wa Wasafi media.

Amezungumza hayo leo akihojiwa na XXL. Kauli hiyo imekuja kutokana na pongezi ya Adam Mchomvu nanukuu

"Kwanza boss hongera kwa kuanzisha media nyingine ya Wasafi"

Joseph Kusaga " Wasafi media siyo mimi niliyeanzisha ni Diamond Platnumz na shareholders wengine, mimi nawashauri tu wakihitaji".

Swali lingine vipi haufikirii kuwa kiongozi wa kisiasa?

Joe "Mimi siyo mwanasiasa, you can't be master of everything..."

Pia amesema hajawahi kuwa na tatizo na Lady Jaydee ashauri nao XXL wasiwe na tatizo na wengine. Wakati akitoa ushauri huo ilisikika sauti ya Adam ikisema "it's order! It's order!".

Awataka vijana kuacha chuki atoa pole kwa Babu Tale.
 
Mm niliposikiliza nimegundua vitu hivi
1-wasanii wanaobaniwa hawana tatizo direct na kusaga Bali watu Wa chini ya kusaga
2-adam hampend diamond
3-anapenda watanzania waamini kuwa kile kituo mmiliki co chibu cjui akijua atafaidika nn
3-yupo emotional sana na vitu visivyo na maana.mfano issue ya dozen kuondoka

HIVYO BASI:sidhan kama kuna haja mtangazaji mwenye miaka kumi kwenye game lafu unakuwa na maswali ya kinafiki kama Yale ya adam.na soon kama kuna haja ya kumuongelea mtu ambae yy hakuongelei.....na issue ya wasfi media its all about business sion kama kuna tatizo diamond kuwa na share na hao akina kusaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…