Joseph Kusaga: Zamaradi Mketema kurudi kuanzia wiki ijayo

Joseph Kusaga: Zamaradi Mketema kurudi kuanzia wiki ijayo

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Amesikika Mkurugenzi wa Clouds Media Group, ndugu Joseph Kusaga katika kipindi cha Leo Tena ninamnukuu "Clouds watangazaji hawaondoki kwa taarifa tu, Zamaradi atarejea kuanzia wiki ijayo "


------------------------
Kanusho la Zamaradi

Zama.jpg
 
Ila Clouds wana creativity ambayo hata mtu akiondoka bado atapamiss sana
Kumbe ndio maana..........😂😂😂😂😂😂😂😂,usipende kutag watu bila kufanya utafiti,tatizo kosa lako ulikimbia hesabu.
 
Nimeona mahalo insta idrisa kasema ili upate exclusive Interview na zama kweye zamaradi tv ni lazima uwe na machozi tena yale mepesi yenya makamasi ya chumvichumvi😂😂😂😂😂

Nikaanza kuangalia.kweli kabisa kila aliyemfanyia exclusive interview wengi walilia kwa ahisia haswaa hata wanaume. But mc pilipili ni kiboko yaan analia yeye ili mwanamke ambembeleze. Na ana dobolesha kuwa mkewe anamlea kama mtoto mdogo. Yaan hadi kuchanwa nywele kuandaliwa soksi utafkir wanaume wengine hawafanyiwi hivyo.
 
Clouds wapo vizuri sana hata kwenye matangazo, tangazo linapewa mbwembwe mpaka bidhaa inakuvutia kuijaribu, ndio maana hawa jamaa wananyakua tuzo ya supe rbrand kwa upande wa radio.
 
Hakuna mtangazaji Tanzania hii asiyetamani kufanya kazi clouds media...mazingira ya kazi na bata la pale hamna mtangazaji asiyetamani woote ndoto zao ni kufanya kazi CMG
wanalipwaje mkuu?
 
Back
Top Bottom