nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Kama ipi?Ila Clouds wana creativity ambayo hata mtu akiondoka bado atapamiss sana
Kumbe ndio maana..........ππππππππ,usipende kutag watu bila kufanya utafiti,tatizo kosa lako ulikimbia hesabu.Ila Clouds wana creativity ambayo hata mtu akiondoka bado atapamiss sana
Kama ipi?
Braza hawa Jamaa wako vizuri sana kwenye utendaji wao wa kazi..Kama ipi?
mkuu vipi mbona jazba tena??Kumbe ndio maana..........ππππππππ,usipende kutag watu bila kufanya utafiti,tatizo kosa lako ulikimbia hesabu.
Huwezi kuelewa,niliyemtag kanielewa.mkuu vipi mbona jazba tena??
Subiri mapovu kutoka kwa wachukia cloudsπ€£π€£Ila Clouds wana creativity ambayo hata mtu akiondoka bado atapamiss sana
wanalipwaje mkuu?Hakuna mtangazaji Tanzania hii asiyetamani kufanya kazi clouds media...mazingira ya kazi na bata la pale hamna mtangazaji asiyetamani woote ndoto zao ni kufanya kazi CMG