Gamba Jipya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 401
- 80
Mkuu, wanachofanya Clouds ni uhuni, nakumbuka Sugu aliwahi kuongea na hawa jamaa kuhusu fiesta ya mwaka 2007 akiwa USA, na ndiyo sauti wanayotumia leo kutangazia wakazi wa mbeya..... Pia wamechukua sauti ya Mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya akiwasihi wananchi wajitokeze kesho.... Hii yote ni kampeni ya kutaka wakazi wa Mbeya wauzurie kwenye hilo onyesho ambalo Sugu alisema hatafanya kila njia lisifanyeke kwenye mkoa wake wa Mbeya.....Hii ni vita nyingine kati ya Sugu na Jamaa wa Cloudsfm, nadhani Sugu anaweza kuwafungulia kesi hawajamaa kwa kutumia sauti yake kwa maslahi ya kujinufaisha wao pasipo kumshirikisha.
Mkuu, wanachofanya Clouds ni uhuni, nakumbuka Sugu aliwahi kuongea na hawa jamaa kuhusu fiesta ya mwaka 2007 akiwa USA, na ndiyo sauti wanayotumia leo kutangazia wakazi wa mbeya..... Pia wamechukua sauti ya Mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya akiwasihi wananchi wajitokeze kesho.... Hii yote ni kampeni ya kutaka wakazi wa Mbeya wauzurie kwenye hilo onyesho ambalo Sugu alisema hatafanya kila njia lisifanyeke kwenye mkoa wake wa Mbeya.....
Hii ni vita nyingine kati ya Sugu na Jamaa wa Cloudsfm, nadhani Sugu anaweza kuwafungulia kesi hawajamaa kwa kutumia sauti yake kwa maslahi ya kujinufaisha wao pasipo kumshirikisha.
Habari zilizo nifikia hivi punde ni kuwa,
Kama ilivyotarajiwa hatimaye mbunge wa mbeya mjini kwa tiketi ya CDM bwana Sugu sasa ameanza kampeni rasmi ya kulisifia na kulitangaza tamasha la Fiesta tofauti na alivyokuwa analipinga siku chache zilizopita, siku nzima ya leo sugu amekuwa anarushwa kwenye matangazo kadhaa akiipa sifa fiesta na kuwaahidi washabiki wa fiesta kuwa baada ya muda mrefu bila yeye kuperfom kwenye fiesta sasa wakati umewadia.
Hii ndiyo misimamo ya wanasiasa wa CDM.
hawa clouds wana uchokozi sana na wana mambo ya kitoto if this is the case: Hata leo kipindi cha Power Breakfast, PJ kanisononesha sana eti anaringanisha sauti za wabunge wa CDM kama vyura the way wanavyolalamika bungeni bila mpangilio.
Kweli CCM inawalipa watu wengi sana.
Nimeisoma katiba na manifesto ya CHADEMA hakuna neno FIESTA.......kwa hiyo huo ni msimamo wake Sugu kama ni kweli amesema
Sheria imekaa vizuri sana juu ya hii issue, halafu uzuri kwenye background wameweka ile promo ya fiesta 2011. Tia mahakamani hawa jamaa mapema sana.
Sheria imekaa vizuri sana juu ya hii issue, halafu uzuri kwenye background wameweka ile promo ya fiesta 2011. Tia mahakamani hawa jamaa mapema sana.