Ni ukweli usiofichika kwamba hawa ma afisa masoko wanatoa udhamini kwa watu ambao waanawapa 10% ya hiyo bajet yao! Ushahid upo na ambao wamekua hawapo tayari kufanya hivyo Proposal zao hutupwa kapuini..
Vinega wana haki ya kusema chochote kile ili mradi tu wasivunje sheria, kinachowafanya waichukie Airtel kwa sasa ni kitendo cha Kelvin Twissa kukaa mezani na Rugay na kupanga kupambana na Vinega kwa kila watakachokifanya kwa kutumia udhamini wa pesa ya Airtel, pesa ambayo wanaipata kama faida kutokana na watanzania kutumia mtamndao wao kwa hiari yao!
Sasa iweje kampuni hiyo ijiunge katika vita ya kuwakandamiza wasanii wanaopigania masalahi yao?
Mzee Kitime alipeleka proposal kataka makampuni mengi tu kwa ajili ya kuomba udhamini wa kuendesha semina ya Haki Miliki wote wakamtosa ili hali alikuwa ana nia njema ya kuwaelimisha wasanii kuhusu haki zao!
Alinyimwa udhamini kwa sababu ilionekana wasanii watafunguka na kuelimika hivyo wanyonyaji ingekuwa kiama chao,
Sasa haya makampini ni baadhi tu ya makampuni ambayo yanashindwa kurudisha fidia yao kwa jamii kwa kuweza kuwadhamini katika shuguli zao mbali mbali ambao hawaitaji udhamini wa mil 100, ila wako radhi kudhamini kuwaleta watu toka nje ya nchi na kuwalipa mil 400 mpaka mil 500 hii inakuoingia akilni?
Hao wasanii wanaotoka nje ya nchi wanaisaidia nini hiyo kampuni iliyowadhamini ikiwa wanakuja kwa siku mbili tu wanavuna pesa kibao na kusepa! Sisi tunaotumia bidhaa za hjiyo kampuni tunanyimwa udhamini japo wa milion 20?
Vita ni vita muraaa mwaka huu mpaka kisomeke kwani hao aritel wanafaida gani kwa Vinega?
Kwa kuwa wana haki ya kuchagua watumie mtandao gani wa mawasaliano basi wasilamumiwe, sababu wameshajua anayewasaliti ni nani!!
Big up Vinega na kampini yoyote itaakayojiunga na wanyonyaji katika kutaka kuajribu kupambana nanyi wapotezeeni wote! Kusaga amekiri kwamba Vinega ni wabishi na ni watata, wanamuumiza kichwa, anahjutaji kumiona waziri wa habari, utamaduni na michezo ili aweze tafuta suluhisho la hili suala, sasa we Greater Thinker mpaka poda na **** wa Rugay unaongea nini wakati mweny wafu fm anawaza kupata ufumbuzi wa suala hili
Sisi tunaendela kutupia tu kwenye nyavu zao, wataokota wao, Kusaga waambie wanao wasi disturb peace, ugomvi wameuanza wenyewe mwishowe watakimbilia polisi
Eti wanajiita washika dau, washika dau bila hao wasanii si wangekua ni washika nyau???