figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
twissa kufanya hivi sishangai jamaa ni bonge la pimbi na hupenda kushobokea watu ambao anahisi watampa jina mjini nakumbuka alivyokuwa ameanza tigo akitoa msaada ngoma ikitoka gazetini basi lazma ailete skani coco watu washuhudie ila vita hii inaponishangaza kila siku wanaoshiriki ni washamba toka mikoani wajanja wa mji wako mitkasi yao ya kupiga pesa!.......
Mwanaharakati yeyote hatishwi na maneno ya kwenye magauni kama hayo! SUGU ni mwanaharakati wa ukweli tokea enzi za Mikononi mwa polisi mpaka leo Mhe. Mbunge, hiyo ni ishara tosha kuwa mwanaharakati hakatishwi tamaa na maneno ya waoga kama baadhi yenu! Big up Sugu mpaka kieleweke!Kweli unachosema ila suala ambalo wanachotakiwa kufanya ni kuwa na strategies za mapambano.Sina shaka na sugu kwani mpaka kaingia kwenye hii vita basi amejipanga na kuna watu wapo nyuma yake.Kuhusu wao kuwa na hela so hawashindwi,hiyo sio hoja...hawana hela hata kidogo.Waliokuwa matrilionea Rais wa Egypt na Libya wapo wapi?. Suala la Twisa likigundulika kwenye kampuni ya Airtel kam ni kweli anajihusisha kwenye ugomvi wa wasanii kwa kutumia influence ya kampuni ni tatizo kubwa sana na hawata mwaacha (Aitel ni company kubwa sana yenye kufuata misingi ya uzalishaji - kimataifa),so hata siku moja body of directors ama mgt hawata kubali kuiingiza kampuni kwenye maswala ambayo yataleta mahusiano mabaya na wateja wao.Je kitendo cha Twisa kuiingiza Airtel kwenye huo ugomvi kuna justification za wateja kuongezeka airtel ? Ama watapoteza wateja ? hata kama ni mmoja.....
Mwanaharakati yeyote hatishwi na maneno ya kwenye magauni kama hayo! SUGU ni mwanaharakati wa ukweli tokea enzi za Mikononi mwa polisi mpaka leo Mhe. Mbunge, hiyo ni ishara tosha kuwa mwanaharakati hakatishwi tamaa na maneno ya waoga kama baadhi yenu! Big up Sugu mpaka kieleweke!
Thanks
Najua ana point za ukweli, lakini ajue kwamba Twisa cant decide by himself, there is a process to approve marketing and sponsorship events. Twisa by the way alishapoteza maana alipokwenda Serengeti na kutoswa na kurudi aritel (which is strange)
Sugu apunguze lugha kali na vita vya sauti kuu, aangalie the other side while continuing fighting virus
muziki ni biashara
sasa kinachotakiwa ni kuweka mazingira ya kibiashara yaliyo fair
ili kila mdau afaidi na watu washindane kwa usawa......muziki sio siasa
umakini unahitajika kutengeneza 'music industry' na sio vuguvugu tu la nguvu ya soda....
Ni kweli mkuu,wasanii wanapaswa kuweza kwa mfano kuingia mikataba na makampuni kama Airtel bila kupitia influence ya Ruge! Wasanii wajipange ili wao wenyewe waundeshe muziki bila kutegemea influence ya wezi!muziki ni biashara
sasa kinachotakiwa ni kuweka mazingira ya kibiashara yaliyo fair
ili kila mdau afaidi na watu washindane kwa usawa......muziki sio siasa
umakini unahitajika kutengeneza 'music industry' na sio vuguvugu tu la nguvu ya soda....
Vinega wameshaanza kuchanganyikiwa. Wanataka kuwafundirha Airtel nani anafaa kudhaminiwa na nani hafai?. Shame on them.
Ni kweli mkuu,wasanii wanapaswa kuweza kwa mfano kuingia mikataba na makampuni kama Airtel bila kupitia influence ya Ruge! Wasanii wajipange ili wao wenyewe waundeshe muziki bila kutegemea influence ya wezi!
Mimi sio mshabiki wa upande wowote kati ya Sugu na Ruge, lakini kama itatokea watu au kikundi chochote kikafanya tukio la kuvunja line ya mtandao fulani mbele ya umati mkubwa wa watu ni issue kubwa kwa kampuni husika na kama kweli liko kibiashara lita-assess nini chanzo na yeyote atakayeingia kwenye link atapunguziwa majukumu, believe me Twisa hatakuwa safe kama vinega watafanya hii kitu.
Ushauri ni kwamba as far as marketing strategies are concerned, the public/social coy needs to play it under safe grounds, which leaves it with undoubted.
JF imeshiriki na inashiriki kwenye mapinduzi ya kisiasa na uchumi,kwa taarifa yao wenye uchungu na sanaa hii humu tumeamua kuwapigania wasanii ili wafaidi jasho lao kihalali na ieleweke Ruge ni sehemu ya tatizo tu.Joseph Mbilinyi: @Fol...hawa walifika mbali kaka,walijitengenezea like a cartel of partners in crime...kwamba hata ukiwa tayari kuwakatia hiyo percent bado watakuzungusha na sana sana wao ndo watapeleka idea yako kwa clouds fm na wataifanya mbele ya macho yako...ITS SO PATHETIC!!!about an hour ago ·1
Woga unaanzia kwako kwa kujiita matumbo wakati si jina lakoWatanzania tunaogopa sana mabadiliko,mi nilijua ni kwenye siasa pekee..waoga waoga waoga!
Mabadiliko hayaji uku watu wanacheka jamani,maamuzi magumu yanaitajika sometime..tuache kuishi kwa mazoea,yale mambo ya kuacha vitu viende tu kama vile aina jinsi,eti kisa ukikomaa sana unajichoresha utaonekana nuksi.
Kuna siku mtamwelewa tu Sugu..
Mbilinyi ana RIGHT target lakini anafuata wrong process to archive RIGHT target. Unajuwa in the process of solving one problem usisababishe mengineJF imeshiriki na inashiriki kwenye mapinduzi ya kisiasa na uchumi,kwa taarifa yao wenye uchungu na sanaa hii humu tumeamua kuwapigania wasanii ili wafaidi jasho lao kihalali na ieleweke Ruge ni sehemu ya tatizo tu.
Woga unaanzia kwako kwa kujiita matumbo wakati si jina lako