JOSEPH MBILINYI aka SUGU aka KINEGA ATANGAZA VITA NA AIRTEL...

Mbilinyi ana RIGHT target lakini anafuata wrong process to archive RIGHT target. Unajuwa in the process of solving one problem usisababishe mengine

ebu toa ushauri wako usiishie ku-diss tu.afanye njia gani?
Ila usiniambie wafanye muhafaka kama wa Cuf na Ccm bila kutibu ugonjwa.
Sometime inabidi kufanya wrong decision for the right reason.
 
mkuu hapo kwenye nyekundu ulikuwa /alikuwa unamainsha/anamainisha wrong au long
?
vilaza bana huelewi nini? wrong and long? mijitu mingine soma kamusi basi
 
Vinega hapo naona kama mmeenda mbali sana
 
PIga Chini Airtel.. pambafu kabisa nao kumbe ni km WAFU FM
 
wataingia bifu na kila mtu,tigo,voda na zantel nao si wanadhamini vipindi vya clouds basi wavunje pia line hzo.sasa sijui watatumia mtandao gan???? Hence proved vinega=vilaza.yoo
wewe kama sio mchomvu basi ni soudy brown maana hao ndio wana akili hii
 
Nyie Vinega hamuwezi kupambana na kampuni kama AIRTEL...mnachekesha sana
 
Nyie Vinega hamuwezi kupambana na kampuni kama AIRTEL...mnachekesha sana

hizi ajira nyingine hizi hazina tofauti na kuwa chakula cha jioni, yani aina ya david wa uk.

Hovyo kabisa.
 
eti huyo afsa masoko wa airtel ndo yule aliyeanzishwa thread kuwa ana katabia ka cameroon yaani vijana wanamhemea kisogoni
 
War does not determine who is right,only who is left- Bertrand russell sasa kwa mifano zaidi nenda Libya
 

heee sugu moto chini
 

Dude he is loosing it now .... facebook wall yake kila siku imejaa majungu .. anadhani kwamba akisema watu wasitumie airtel hawatotumia! yeye kama nani mpaka watu msikilize... hehehe!

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 


Dude he is loosing it now .... facebook wall yake kila siku imejaa majungu .. anadhani kwamba akisema watu wasitumie airtel hawatotumia! yeye kama nani mpaka watu msikilize... hehehe!

"'

Mbona mnaanya sikilizia impact yke???! Aunt virus with no apology tunakukaribisha matongee tar 17 dec tuscan virus
 
Mbona mnaanya sikilizia impact yke???! Aunt virus with no apology tunakukaribisha matongee tar 17 dec tuscan virus
Tatizo mnahangaika na mitandao iliyojaa mjini pekee. Mtu wa CHIGANDUGANDU kule mahenge unapomueleza aachane na AIRTEL maana yake aachane na simu yake. Fikiria jambo kwa upana wake na si hiyo tarehe oayoitaja tu... Mfikirie aliyeko MCHOTEKA kule Tunduru, NYANGAMALA kule Lindi, LUAGALA kule Mtwara, MGAMBO kule Kigoma, KILANDO kule Rukwa... etc hawa watu kuwaambia waache Airtel ni sawa na kuwaambia waache kutumia simu
 
Kumbukeni airtel walikuja na strategy ya kusambaza minara vijini hasa kusini ili mlioko mijini muhamie airtel pale wazazi na ndugu zenu watakapokuwa hawana option zaidi ya kutumia airtel. Hivyo vita na airtel ni ngumu kwa sugu. Sugu kumbuka antivairasi ya kwanza imejaa matusi kiasi cha kuharibu dhana nzima ya vita uliyoianzisha. Ukitaka ueleweke na jamii nzima pigana vita hiyo bila matumizi ya lugha chafu. Wewe mwenyewe angalia lugha za wanaokuunga mkono ndani na nje ya hapa JF
 
vilaza bana huelewi nini? wrong and long? mijitu mingine soma kamusi basi

Mambo mengine hayaitaji kamusi ni uvivu wakusoma kitu na kukielewa badala yake anataka kutafuniwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…