Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yule mbunge wa Milele wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ambaye pia aliwahi kufungwa jela kwa kesi ya Kisiasa, leo amefika Kata ya Ilomba kuomba kura zake mwenyewe lakini pia ameomba zingine kwa ajili ya Tundu Lissu na chama chake.
Hivi ndivyo ilivyokuwa.
Hivi ndivyo ilivyokuwa.