figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
ukikiuka sheria za nchi utawajibishwa ipasavyo hata usingizie nini gentleman πView attachment 3159535
Joseph Mbilinyi: CCM hawana Maarifa, Wanavuruga Uchaguzi, Wanategemea Dola, wanateka watu na kuua watu ili kutia hofu raia
Ameyasema hayo kwenye Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA FREEMAN MBOWE
Pia, soma: LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku
Kada unapambana.ukikiuka sheria za nchi utawajibishwa ipasavyo hata usingizie nini gentleman π
So he kissed your ass babe! Naomba kwa heshima kubwa jipige picha nione huo mzigo uubebao kama una viwango, ila si vizuri kutoa siri zako .Mbowe the notorious asskicker
View attachment 3159535
Joseph Mbilinyi: CCM hawana Maarifa, Wanavuruga Uchaguzi, Wanategemea Dola, wanateka watu na kuua watu ili kutia hofu raia
Ameyasema hayo kwenye Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA FREEMAN MBOWE
Pia, soma: LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku
Haya yote ni kwa Neema tu gentleman, vinginevyo haiwezekani πKada unapambana.
Yani hukauki ...kila Jungu umo.π