smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram, aliyewahi kuwa mbunge wa mbeya mjini amepost clip inayomuonyesha akimtunza mwanamziki cristian bella jukwaani.
link hii hapa:
NB:
nikiwa kama shabiki wa mziki wa live na mziki wa rumba nimefuhia sana tukio hili.
kwa wadau wa mziki wa rumba hili ni tukio la kawaida sana. wanamuziki wakubwa kama koffi olomide, fally ipupa na ferre gola wote hufanyiwa hivi na mashabiki zao.hapa nawazungumzia mashabiki wenye fedha za kula za kutosha, almaarufu "mapendeshee".
hata hapa bongo chini ya utawala wa JK tuliwahi kuwa na mapendeshee ila baada ya kuingia mwendazake wakaingiwa na uwoga.
vinginevyo wangetumiwa vijana wa sabaya wawafate na kuwahoji walikotoa pesa,
taskforce isingelala, ingeenda kuwa scrutinize waonyeshe records zao za kulipa kodi ama vipi wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na account iwe freezed.
ila kwa trend hii ya utawala wa Mama, hakuna shaka mapendeshee watarudi, wasanii wa mziki wa dansi wataanza kuishi vizuri kama zamani.
au nasema uongo ndugu zangu, msema "kweri" ni mpenzi wa Mungu.