Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,407 Oct 12, 2010 #1 Mambo SUGU huko mbeya Town.Karibu: JOSEPH MBILINYI ( MR II ) AWAKUNA WANANCHI WA JIMBO LA MBEYA KATIKA MDAHALO ULIO FANYIKA HAPA JIJINI
Mambo SUGU huko mbeya Town.Karibu: JOSEPH MBILINYI ( MR II ) AWAKUNA WANANCHI WA JIMBO LA MBEYA KATIKA MDAHALO ULIO FANYIKA HAPA JIJINI
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Oct 12, 2010 #2 Kwa nini wewe mwenyewe usiifungue hiyo tovuti na kutupunguzia adha za kila mmoja wetu kuifungua?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 12, 2010 #3 Nilikuwa huko nilibahatika kuhudhuria moja ya mikutano yake ya kampeni. Mpesya muda wake wa kurudi kufundisha hakika umefika, kijana anatisha sana.
Nilikuwa huko nilibahatika kuhudhuria moja ya mikutano yake ya kampeni. Mpesya muda wake wa kurudi kufundisha hakika umefika, kijana anatisha sana.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Oct 12, 2010 #4 hahaa mbona sijaona mgombea wa chichiemu..aaah kumbe wamekatazwa na makamba
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Oct 12, 2010 #5 watavuna mabua.................chama kizee kinakataa midaharo kinakataa changamoto makini Kigogo said: hahaa mbona sijaona mgombea wa chichiemu..aaah kumbe wamekatazwa na makamba Click to expand...
watavuna mabua.................chama kizee kinakataa midaharo kinakataa changamoto makini Kigogo said: hahaa mbona sijaona mgombea wa chichiemu..aaah kumbe wamekatazwa na makamba Click to expand...
U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Oct 12, 2010 #6 go sugu!!!!!!!!!
Butola JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 2,290 Reaction score 758 Oct 12, 2010 #7 Sugu anafanya vizuri sana maeneo ya mjini lakini ukabila na ujadi uliojizatiti maeneo ya pembezoni mwa mji unaweza ukamwangusha na kumpa ushindi Mpesya.
Sugu anafanya vizuri sana maeneo ya mjini lakini ukabila na ujadi uliojizatiti maeneo ya pembezoni mwa mji unaweza ukamwangusha na kumpa ushindi Mpesya.