Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu): CCM hawana nguvu ya umma wanatumia nguvu ya dola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi (Sugu), amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Balaza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo kusimamia suala la umoja na kuunganisha wanawake wote katika chama hicho na nje ya chama.

Ameongeza kuwa uchaguzi umeisha hivyo ni wakati wa kuweka tofauti zao pembeni na kukijenga chama ili wawe wamoja.

View attachment 3233344
maskini,
kumbe wamegawanyika. halafu kabisa wanaonyesha kukata tamaa :pedroP:
 
Elizabeth Mwakimomo! Hongera sana mwanachama mtukuka wa JF. Sikujua kama safari hii umebahatisha. 😀 😀
 
Back
Top Bottom