Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi (Sugu), amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Balaza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo kusimamia suala la umoja na kuunganisha wanawake wote katika chama hicho na nje ya chama.
Ameongeza kuwa uchaguzi umeisha hivyo ni wakati wa kuweka tofauti zao pembeni na kukijenga chama ili wawe wamoja.
View attachment 3233344