Joseph Mbilinyi (Sugu) kuhojiwa EFM Machi 8, 2024

Kuishi Tanzania ni kero sana

Watu wengi ambao ni maarufu au viongozi wana IQ ndogo

Ukimsikiliza utaishia kuwa bored tu

Bora nitumie muda huo kusoma kitabu
 
Kuishi Tanzania ni kero sana

Watu wengi ambao ni maarfu au viongozi wana IQ ndogo

Ukimsikiliza utaishia kuwa bored tu

Bora nitumie muda huo kusoma kitabu
Kweli sana
Sugu ni anaongoza kwa low IQ
Na ushamba mzigo
Alikuwa mbunge kujiondoa na umasikini
Na pale anajihesabu kama ameshatoboa
Wengine wote anawaona mafala tu
Sijui kama wana mbeya wanamkubali kiasi kile kama mwanzo before hawajamjua vizuri

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu huyu Sugu anayetia fora kwenye maandano na kujitapa kuwa amevalia vito vyenye thamani kuliko waandamanaji wenzake?

Sijui atavunja rekodi ya kuvaa/kusema nini safari hii-Redioni.
 
Huyu huyu Sugu anayetia fora kwenye maandano na kujitapa kuwa amevalia vito vyenye thamani kuliko waandamanaji wenzake?

Sijui atavunja rekodi ya kuvaa/kusema nini safari hii-Redioni.
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…