Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"

8870414E-68A1-40CD-96C7-EDE28B259981.jpeg

Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.

Chanzo: Jambo TV
 
Kushinda vita ukiwa na askari wengi wenye njaaa sio rahis...
 
"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"

View attachment 2551611

Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.

Chanzo: Jambo TV
Kwani Selasini yuko mstari wa Siasa. Ameona wananufaika analeta upoyoyo.
Kuna L.Pumba mwengine huyu.
Mapumba yako sana.

Vyama vikuu nchi hii ni Viwili tuu kama Ilivyo Demo na Rep. Kule USA.
 
Mlikufa halafu mfe tena?
Kauli tata sana hii
 
Nani ataungana na huyu mtu ambae ndani ya familia yake na ukoo ameshindwa kuunganisha!!
Kwa wanachama gani alionao?
Huyu mtu ni hovyo na ndumilakuwili na hafai kuungana na yoyote, kwanza maadili sifuri!
 
Selasini akiwa Rais wa nchi , atawauza mchana kweupe.
 
Kwanza mlishakufa,mfe mara ngapi
Huoni walichokifanyaa chadema kipindi hiki,Chama cha upinzan kinatangaza mbele wa haraiki ya wanachama wake kwamba kuanzia sasa tutakuwa bega kwa bega na Mama hakuna haja ya kukosoa chochote mana mambo yanasonga.
Mama akawambia;"ccm oyeeee wakaitikia oyeee"..Heko bwana selasin kwa kutambua juninga na ulafi hao akina mbowe na mnyika, Chadema ni Ccm2 baada ya ACT ya Zitto.
 
Back
Top Bottom