Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Acha hasira. Sikiliza ukweliKwanza mlishakufa,mfe mara ngapi
AhaaaahaAcha hasira. Sikiliza ukweli
Umetoka lini chato kwenye uliInzi wa kabuli la Mungu wenu?"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"
View attachment 2551611
Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.
Chanzo: Jambo TV
HUYU MNAFIKI SANA wakati na Yeye alikuwa Mwanachama wa CHADEMA"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"
View attachment 2551611
Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.
Chanzo: Jambo TV
Kwani Selasini yuko mstari wa Siasa. Ameona wananufaika analeta upoyoyo."Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"
View attachment 2551611
Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.
Chanzo: Jambo TV
Ukiacha majina yao (NCCR na CUF), kwani vyama hivyo vipo?"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"
View attachment 2551611
Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.
Chanzo: Jambo TV
Kabla ya kuwa Chadema alikuwa huko huko NCCR MAGEUZI. Chadema walipomzingua akarudi alipotokaGA.HUYU MNAFIKI SANA wakati na Yeye alikuwa Mwanachama wa CHADEMA
Selasini akiwa Rais wa nchi , atawauza mchana kweupe.Nani ataungana na huyu mtu ambae ndani ya familia yake na ukoo ameshindwa kuunganisha!!
Kwa wanachama gani alionao?
Huyu mtu ni hovyo na ndumilakuwili na hafai kuungana na yoyote, kwanza maadili sifuri!
Huoni walichokifanyaa chadema kipindi hiki,Chama cha upinzan kinatangaza mbele wa haraiki ya wanachama wake kwamba kuanzia sasa tutakuwa bega kwa bega na Mama hakuna haja ya kukosoa chochote mana mambo yanasonga.Kwanza mlishakufa,mfe mara ngapi