Joseph Selesani achangia kwa mara ya kwanza bungeni baada ya ajali

Ston Merchant

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
393
Reaction score
103
:eek2:Awapongeza viongoz mbl mbl wa kitaifa kwa ushirikiano kipindi cha ajali na msiba...

1. Pongezi......Mwenyezi Mungu, CHADEMA, Jakaya Kikwete, William Lukuvi, Anna Makinda, Agrey Mwandri, Reginald Mengi, Mizengo Pinda, James Mbatia, Augustion Mrema, Madaktari na watu wte kwa ujumla.

2. Bajeti: Asema bajeti ya wizara ya Nchimbi iongeze pesa idara ya polisi especially kwenye gharama za mafuta kwani alipopata ajali, gari la polisi liliisha mafuta walipofika kituoni hivyo kumlazimu dereva wa gari la polisi kutumia pesa zake binafsi kuongeza mafuta ili wawafikishe hospitali.

Source: Bunge Live.!

Nawakilisha..
 
ASISAHAU kumchana LIVE M.L.Nchemba kwa umbeya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…