Joseph Shamba "Vengu" wa Original Comedy

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
Nilikuwa natazama Komedi ya kundi la Orijino Komedi. Naona katika orodha ya washiriki, yupo Joseph Shamba "Vengu" ambaye ni mwaka wa pili sasa hajaonekana hadharani.

Yuko wapi? Tuliambiwa anaumwa, vipi maendeleo yake?

Kwa anayejua, atujuze.
 
Me pia naona jina tu lakini sura sioni wakat wa kipindi.
 
Orijino komedi walipasa kujibu wapenz au mashabiki wao kuhus hali ya vengu n kweli imekua muda na wapo kimya as if hakuna mgonjwa kuna raha gani ya kutaja jina la mtu ikiwa mhusika haonekani
 
Kwani hicho kipindi bado kipo.?
 
Vengu anapigania maisha yake atanyanyuka tu kwa uwezo wa jehova yote ni majaribu tu ili maandiko yatimie
 
niliwahi sikia hawa jamaa uwa hawa sign mkataba mpaka mwenzao ahusishwe kwenye mkataba hata kama hayupo ila uwa analipwa kama wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…