yeye siyo mwana ccm ndo maana amewakimbia hao wenzake vibaraka wa ccm vinanjaa kali.
hakuna la ajabu hapo mana wachaga na pombe ni mswaki na whitedent mixa wana aleji na ccm.wanavyodai amesimamishwa kwa ulevi wa kupindukia!!!
Yeye siyo mwana CCM ndo maana Amewakimbia hao wenzake vibaraka wa CCM vinanjaa kali.
Nasikia siku hii wahuni walimla `KIBOGA` ndiyo maana hata mitaani haonekani.Mmmh sasa wamemsimamisha au wamemfukuza???? Mbona imekuwa muda mrefu sana?
Baada ya hili tukio, sijawahi kumtia tena ==> machoni:A S 103:
http://api.ning.com/files/fU2NFG8xH...cuiRFb6EdV7ruzT32DLiR97j*cBl8FdYA/VENGU12.jpg
Yeye siyo mwana CCM ndo maana Amewakimbia hao wenzake vibaraka wa CCM vinanjaa kali.
Nasikia siku hii wahuni walimla `KIBOGA` ndiyo maana hata mitaani haonekani.
hata wewe nawe una levels?? kama alichosikia afanyeje??acha hizo hapa no too low