Ni vizuri tungefahamu hatua zinazochukuliwa kuokoa maisha ya huyu msanii.inasikitisha sana kwakweli kwa jinsi hali ilivyo.kama kuna kitu kinakwamisha iwe wazi kwa publicdogo anaumwa sana mkuu, yuko ICU mwezi wa pili sasa
nimemuona kwenye gazeti la jana amelazwa muhimbil hospital ana rais wetu JK alipita kumpa pole naona yuko kwenye oxygen sijui anaumwa nini??[walisema ana matatizo sehemu ya ubongo yanayomfanya awe anaanguka na kube vile watu walivokua wanafikiria anaangusha gari kisa pombe sio kweli]
wewe banaaa,kluna watu wengi wenye shida na hawana hata senti; hiyo pesa peana maskini, sioni kama vengu amefulia kiasi cha kuhitaji michango kwa ajili ya kutibiwa, sisi watanzania tunapenda sana publicity. ukiskiza RFA jumapili watu wengi wanalia shida lakn michango nehi, lakin akiumwa mtu maarufu michango kibao hata kama mtu huyo ana uwezo wa kujigharimia, aaaaaaaaargh. nothing personal kaka, RIP vengu kama kweli ametutoka kama tetesi zinavoskika mitaani.This is a call, kama tuna utu, tunaweza kuanzia hapa kwa kuchanga chochote kuokoa maisha ya binadamu mwenzetu. An account can be opened na kuanza kuchangia au through his collegues, au ndugu wakaribu sina uzoefu wa hivyo lakini naona watu wengi wakifanya hivyo. Kama tuna moyo tunaweza okoa maisha yake. I already pledge 500,000, sijui jinsi ya kuwsilisha. Today its him tomorrow it can be you.
Aiseee yupo yule jamaa siku hizi anafanya kazi za nyumbani kwa Manji na pale TBC1 ukiwahi asubuhi utamkuta anafagia. Wale wenzake huwa kazi za nyumbani wanafanya usiku pale kwa Manji.
wewe banaaa,kluna watu wengi wenye shida na hawana hata senti; hiyo pesa peana maskini, sioni kama vengu amefulia kiasi cha kuhitaji michango kwa ajili ya kutibiwa, sisi watanzania tunapenda sana publicity. ukiskiza RFA jumapili watu wengi wanalia shida lakn michango nehi, lakin akiumwa mtu maarufu michango kibao hata kama mtu huyo ana uwezo wa kujigharimia, aaaaaaaaargh. nothing personal kaka, RIP vengu kama kweli ametutoka kama tetesi zinavoskika mitaani.