Joseph shamba vengu wa orijino komedi

jaman shame on u pple...vengu yu mahututi mwez wz pili sasa...muwe mnafatilia na vyombo vya habar...mxxxiu
 
Tumuombee nasikia anaumwa hospitalini amelazwa
 

mkuu hao wapo chini ya manji, kwahyo gharama za matbabu co ishu ni bora hyo pesa unisaidie mie niweze kulpa tution fee ili niweye kumalzia ada ya chuo.
 
Huyo dogo ana zaidi ya miezi mitatu yupo muhimbili ICU anaumwa , hali yake si nzuri kabisa, last month hata mh. ****** alipita kukjulia hali MNH na karibu media nyingi zililipoti hali ya huyo dogo, inaelekea wachangiaji wa forum hii wote mnapata updates humu ndani pekee ndio maana hata kinachoendelea kwa dogo hamjui, kwa ujumla kwa sasa dogo anapambana na mtoa roho ili kurudia hali yake ya zamani kwani hata kumbukumbu alishapoteza (hana fahamu)
 
Ni kweli mkuu ila Wanajf tuache kumchulia kifo Vengu,TBC wametangaza sasa hv kuwa ni mzima ingawa hajapona! Tumechoka na tetesi zinazogusa uhai wa mtu.kama huna source ya habari usiweke humu tetesi za kuchulia mtu kifo eti nimesikia!! Kwa habari za kifo no source usipost upupu!
 
Jamani nimechoka na mambo ya hapa hivi kweli watu hamjawa informed kiasi hiki!!!!!! Mbona jana tu magazeti yameripoti hali yake mnataka afanye maonyesho akiwa icu? Amelazwa kwa takribani kipindi cha mwezi mzima ama miwili sasa akiwa hajiwezi!!!! Hebu ngoja ntafute link hapa niwaunganishe nayo hayo mengine yoooooooote ni nyongeza, kikwete last month alimtembelea hospitali kumwona alikuwa hajitambui na amekwisha kiafya!!!! Swali la msingi akina manji kwanini wasimsaidie akatibiwe nje wakati komedi walikuwa wanatumika kumshambulia mengi?????????????
 
Wanasiasa watu wabaya sana. Wamemtumia huyu kijana kupata ulaji, lakini sasa hawana habari naye!!! Mungu msaidie kijana huyu. POLE SANA VENGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…