LAKINI NATAKA KUJUA KIWANDA CHA PODA ANACHOMILIKI BRAZIL KINAZALISHA TANI NGAPI KWA SIKU. hapo nitaweza kujua utajili alio naoWivu unakusumbua fanya kazi dogo
Hao waumini wake, anaodai atatajirika nao, wana chopa ngapi?duh. haya masikini ana 'hedikopta' na jumba la ghorofa nne! nchi hii hii
Tehehehe yani leo unavyohangaika, kila unaposhika panateleza. Threads zako naona mods wamezilamba kama anaconda mwenye njaa ya karne. Sasa umeamua kuja kufukua makaburi."Mimi ni masikini kama walivyo masikini wengine",
Josephat Gwajima, 2015