Josephat Gwajima akana utajiri wake

Huyu Pinda na huyu Pengo wote hawa ni wana Mpanda, Sakata la Gwajima litaisha pale JK atakapovunja baraza...Tuzidi kumuombea!
 
sijuhi umri wako ila kwetu sisi watu wazima tunafahamu kichanga kinavobadirika sana, wakati mwingine mara tatu kwa siko, hahaha....
kwetu havibadiliki! kama unavyoona picha inabikia hivyo
 
Gwajima usiamrishe serikali wewe nani kama huna makosa wasiwasi wa nini?
 
gwajima amwambia rais kikwete asimfuatilie fuatilie ama sivyo........
Kwenye biblia hamna mafundisho yoyote ya kumsaidia Gwajima kipi cha kuongea na kipi si cha kuongea kwenye hadhara? Anapotishia Raisi ana jeshi? Au hao anawaita majeshi majeshi kwenye ibada zake ndio wanajeshi wenyewe?

Anyway let us wait and see
 
Gwajima waambie waliokutuma, Mheshimiwa Rais anashughuli nyingine mbali kabisa na uwezo wako wa kufikiri.
 
Kwenye biblia hamna mafundisho yoyote ya kumsaidia Gwajima kipi cha kuongea na kipi si cha kuongea kwenye hadhara? Anapotishia Raisi ana jeshi? Au hao anawaita majeshi majeshi kwenye ibada zake ndio wanajeshi wenyewe?

Anyway let us wait and see

Ndio biblia yenyewe hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…