Mpunumpunyenye
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 114
- 50
Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
Wewe ndo mwenye SI unit ya uzazi nini mkuu!!!Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
Duh! Sheria ni hasa. Umri wa Dr Slaa na mwanae huyo wa miezi mitano!
uwezo wako wa kufikiri umekufikisha hapa?Yalaaaaaaaaaaaaaa makubwa tena hayo. Kumbe kweli huyu kwa hali hii ni mke halali wa Mahimbo, kinyume na CDM walivyosema ! Dr. Slaa wanawake wako wengi kwa nn uibe mke wa mtu ? Hii yaonyesha domo lako ni bubu
Yalaaaaaaaaaaaaaa makubwa tena hayo. Kumbe kweli huyu kwa hali hii ni mke halali wa Mahimbo, kinyume na CDM walivyosema ! Dr. Slaa wanawake wako wengi kwa nn uibe mke wa mtu ? Hii yaonyesha domo lako ni bubu
Hizo ni fitina tu za kisiasa.
Dah! Umenipatia kweli. Umejuaje? Namhurumia mtoto huyu kwa kuwa atakapokuwa darasa la saba, Dr Slaa atakuwa na miaka zaidi ya 80.tatizo liko wapio unadhania Dr.SLaa ni kama wewe joka la kibisa
Vipi mama yako? Angeweza kumkataa?Ni kweli domo lake ni bubu, yaani anashindwa kusema nao hata wale walioko ndani ya chama? Mbona wako wengi tu na nina uhakika hawawezi kumkataa?