Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 846
Huyu member amekua mchangiaji no 1 kwa Kila uzi humu kampuni jukwaani,hii imemfanya kujulikana ktk Kila uzi..
Kwa muda sijaona comment yake, je kuna yeyote anaefahamu alipo?
Hana Cm,amezidiwA,amepatwa na nn? Maaana Sio kawaida yake huyu ndugu.