Wa kwanza kufanya nini?Me mbona wakwanza pia ktk huu uzi
Kumbe uliniwahi mkuuuWa kwanza kufanya nini?
Ukishakuwa wa kwanza kuchangia unapata nyongeza ya kipato au?Habari wana JF
Mkuu Joseverest hivi unatumia mbinu gani mpaka unapata mpaka 89% za wewe kuwa ni member wa kwanza ku comment asilimia hizo ya threads?
Ni kweli kitanda, gari, nyumba na kazi yako inakuwa pale tu unapoiwahi thread ndani ya JF hivyo huingiza noti?
Binafsi najua huwa inatokea km bahati mbaya/ zali tu la kuwahi lakini c kwa upande wako
Napenda nipate hata thread 3 ili nami niwe wa kwanza lakini halijawahi kunikuta so msaada wako unatakiwa kwa hili maana kuna uzi niliuona kuna jamaa analalamika baada ya wewe kumzidi kete
itakuwa kusema wa kwanzaWa kwanza kufanya nini?
Imesemwa na wengine wenye ujuziJoseverest inamuhusu basi sisi ngoja tupite.
Km sikosei itakuwa ya 20.BT huyo joseverest ni amiri jeshiAhsante mkuu we ni nouma sasa toa maujuzi uliyotumia lakini nijuze hii ni thread yako ya ngapi tangu uingie humu JF kuwa wewe wakwanza?
Hivi unamjua au unamsikia tu Joseverest???
Nyuzi za maendeleo zikoje? Nazijua za katani, pamba, nylon etcSitaki kila uzi, nataka nyuzi za maendeleo