Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Labda ana uhakika wa kupita iwe isiwe!Na hapo ndiyo alijimaliza mwenyewe
Tanzania hakuna elimu niamini nikwambiayo.Elimu yake yote anaishia kuwa chawa
Wajumbe tunawategemea.Wakuu,
Naona wajumbe wameendelea kuwashika pabaya wanasiasa. Yaani swali dogo tu hivi kama amepanic hivi
Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
Source: Bongo Mixed
Wachungaji wameisha pita nayo ππHizo kelele anazopiga ziwekewe beat iwe nyimbo