GanjaPlanter
Senior Member
- May 27, 2014
- 117
- 119
Joshua Nassari amekamatwa na Polisi jioni hii na yuko ndani Kituo cha Polisi USA River Arusha kuhusiana na masuala haya ya Uchaguzi...
Katibu wake anasema wamefuatilia kituoni hapo kujua sababu ya Polisi kumshikilia wakaishia kufukuzwa na Polisi hawatoi majibu yeyote..
Nadhani nguvu ya umma inahitajika askari wetu wajue wajibu wao na haki za Raia na hasa Viongozi wa Umma!