GE2025 Joshua Nassari alitaka tena Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
"Sasa nafikiri imefika muda ni wakati wa uchaguzi na mwaka wa uchaguzi na mimi nimewiwa kuzisikiliza sauti za watu wa Meru. Nimezisikiliza kisawasawa kwahiyo nimedhamiria na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya kiti cha ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki" - Joshua Nassari
Your browser is not able to display this video.
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza, Joshua Nassari leo Jumatatu, Juni 30, 2025 akiwa na fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Nassari amewahi kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
 
Huyu mke wake akitaka KUJIFUNGUA anakimbia bunge au sio huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…